Picha kutoka kwenye simu au kompyuta yako ndogo zinapatikana kiotomatiki kwenye kompyuta yako
Chagua simu yako hapa chini ili kuanza, au ichomeke kwenye kompyuta yako.
Windows Phone
Jozi bora zaidi
Tayari mambo unayopenda kwenye Kompyuta yako ya Windows 10 yapo kwenye simu yako—Cortana, picha, muziki, na zaidi. Jifunze zaidi kuhusu Windows Phone au angalia vifaa vinavyopatikana.
Simu ya Android
Uwiano bora zaidi
Sanidi simu ya Android au kompyuta yako ndogo ili uweze kulandanisha mambo unayopenda kutoka kwenye Kompyuta yako, kiotomatiki. Tutakuelekeza.
Apple iPhone
Uwiano bora zaidi
Sanidi iPhone au iPad yako ili uweze kulandanisha mambo unayopenda kutoka kwenye Kompyuta yako, kiotomatiki. Tutakuelekeza.